Pages

Thursday, October 24, 2013

HONGERA SANA KWA DADA YETU KIPENZI MWANAFUNZI MWENZETU MPENZI WETU KWA HATUA KUBWA ALIOIPIGA KATIKA MAISHA YAKE TUNAMTAKIA MAISHA MEMA NA YENYE FARAJA KATIKA NDOA YAKE


MATUKIO KATIKA PICHA JINSI SHEREHE YA MWENZETU ILIVYO FANA SIKU YA TAR 23 0CT 2013


HAPO NI BIBIE KUDRA AKIWA NA MEDDS WAKE SALOON BAADA YA KUPAMBWA




WANA MAPAMBANO NA MEDDS WAKIWA WAMETUPIA VYA SHEREHE 

PICHA YA PAMOJA YA WANAMAPAMBANO WALIOHUDHURIA

ILIKUWA BALAA KWENYE MAMBO YETU YALEE





BIBI AKIYARUDI NJE KABLA YA BIBI HARUSI AJAFIKA


BIBI HARUSI AKIWASILI UKUMBINI SASA







AFTER PARTY SASA ILIKUWA BALAA HAPO EAGLE PARK PALIKUWA APATOSHI KABISA
WATU WALIKUWA WENYE FURAHA SANAAAA

ALIKUWA MCHEZAJI WA ZAMANI WA TAIFA STARS BONIFASI PAWASA ALIJUMUIKA NASI PIA EAGLE PARK

MAMA LA MAMA AKIWA NA VIJANA WAKE


MAMA DJ AKIJIACHIA KWA RAHA ZAKE BANA

MAMA DJ ALIKUWA ANAONA WATU WAWILIWAWILI HAPO

KWA MBALI ANAONEKANA DIANA KAWA AKITABASAMU

DAH MACK ALIKUWA KACHOKA BALAAA


WATUWALISELEBUKA VYAKUTOSHA BANA

AAAH MUNGU FUNDI BANA


MJAASILI AACHI ASILI BANA

MTOT ANATABASAMU BALAA

MMMH BALAA


MEZA ILIKUWA IMECHAFUKA BALAAA





ILIBIDI ABEMBELEZWE MAANA VUALAA ALISHAMUUZI TAYARI


DAH ILIKUWA HATAREEEEEEE








NYUMA YA PAZIA



                                                 NIKWELI HUYU NDIE YULEEEEE/??///??????????

1 comment: