Pages

Sunday, October 27, 2013

SHEREHE YA HARUSI YA MPENDWA WETU DADA KUDURA ANUARY KATIKA PICHA



MASWAIBA HAWA BWANA WANASHIRIKIANA KWA MENGI SANA

BWANA HARUSI ANUARY AKIONEKANA KWA MBALI AMETULIA

NGASHI NAE ALITUPIA BANA MAMBOA YENU YALE

KAMA KAWA TUKIWA VIDANYA WAKIWA NA FURAHA TELE WAKILISUBIRI BIRIANI

WANAMAPAMBANO WAKIPATA MOJA MOJA BAADA KUTOKA KWENYE HARUSI SIKU YA IJUMAA

WAKIWA DEEP KWENYE RAHA ZAO

HATEEB AKIWA NA SHEKEJI YAKE  PENDO


PICHA JUU ILIKUWA SIKU YA IJUMAA BWANA ANUARY ALIPO KABIDHIWA MKE WAKE

No comments:

Post a Comment