Pages

Tuesday, August 6, 2013

WANAMAPAMBANO WAKIWA KWA CELINA MATUKIO KATIKA PICHA

 VIDANYA WALIPOKELEWA KWA SHANGWE SANA NA MWNEYEJI WAO DADA CELINA                                                                NA MR WAKE



                                       MTOTO AKISHIKWA NA AKINA DADA PALE
TUNAKUMBUKA ELIZA ALIPO MSHIKA MTOTO ALILIA SASA ATUKUJUA KWA NINI ILA TULIAMBIWA MTOTO NI MALAIKA KAMA ULITENDA DHAMBI LAZIMA AJUE NA ATOE ISHARA YA KULIA
                                                   ADAMU AKIWA NA CELINA HAPO
                                            APO ADAMU TENA AKIWA NA MR
                          HAPO TUKIPATA PICHA YA PAMOJA NA FAMILIA YA CELINA













KIKUBWA KATIKA HII SAFARI ILIKUWA NIKUWATEMBELEA WENZETU NA KWA KWA YALIYO WAKUTA NA TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUTUFIKISHA SALAMA NA KUTURUDISHA SALAMA  PIA WOTE WALIOSHIRIKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE TUNAWASHUKURU SANA NA TUENDELEE NA MOYO HUOHUO KWANI HIYO NDIO MAANA HALISI YA UMOJA WETU
Hayo ywlikuwa maneno ya kiomgozi wetu KAKA ADAMU MILINGA


Picha zote by Davis Kawa  AKA ndashi


1 comment:

  1. safi sana sema kuna picha nimeona kuna mtu alikuwa ananyemelea mali zangu..itabidi mpwa unipe taarifa zaidi kiundani yaliyojiri ktk safari hii..

    ReplyDelete