MTOTO AKISHIKWA NA AKINA DADA PALE
TUNAKUMBUKA ELIZA ALIPO MSHIKA MTOTO ALILIA SASA ATUKUJUA KWA NINI ILA TULIAMBIWA MTOTO NI MALAIKA KAMA ULITENDA DHAMBI LAZIMA AJUE NA ATOE ISHARA YA KULIA
ADAMU AKIWA NA CELINA HAPO
APO ADAMU TENA AKIWA NA MR
HAPO TUKIPATA PICHA YA PAMOJA NA FAMILIA YA CELINA
KIKUBWA KATIKA HII SAFARI ILIKUWA NIKUWATEMBELEA WENZETU NA KWA KWA YALIYO WAKUTA NA TUNAMSHUKURU MUNGU KWA KUTUFIKISHA SALAMA NA KUTURUDISHA SALAMA PIA WOTE WALIOSHIRIKI KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE TUNAWASHUKURU SANA NA TUENDELEE NA MOYO HUOHUO KWANI HIYO NDIO MAANA HALISI YA UMOJA WETU
Hayo ywlikuwa maneno ya kiomgozi wetu KAKA ADAMU MILINGA
Picha zote by Davis Kawa AKA ndashi
safi sana sema kuna picha nimeona kuna mtu alikuwa ananyemelea mali zangu..itabidi mpwa unipe taarifa zaidi kiundani yaliyojiri ktk safari hii..
ReplyDelete